Native Bible

Job 16:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Ayubu akajibu:

Job 16:1 in English

Context

1Kisha Ayubu akajibu: 2“Nimepata kusikia mambo mengi kama haya, nanyi nyote ni wafariji wenye kutaabisha! 3Je, maneno yenu mengi yasiyo na maana hayana mwisho? Mna nini hata mwendelee kushindana kwa maneno?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.