Native Bible

Job 1:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Katika mambo haya yote, Ayubu hakutenda dhambi kwa kumlaumu Mungu kwa kufanya ubaya.

Job 1:22 in English

Job 1:22 · Berean Standard Bible

In all this, Job did not sin or charge God with wrongdoing.

Context

20Ndipo Ayubu akasimama, akararua joho lake na kunyoa nywele zake. Kisha akaanguka chini katika kuabudu 21na kusema: “Nilitoka tumboni mwa mama yangu uchi, nami nitaondoka uchi,* Bwana alinipa, naye Bwana ameviondoa, jina la Bwana litukuzwe.” 22Katika mambo haya yote, Ayubu hakutenda dhambi kwa kumlaumu Mungu kwa kufanya ubaya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.