Ayubu 1:21
Job 1:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na kusema: “Nilitoka tumboni mwa mama yangu uchi, nami nitaondoka uchi,* Bwana alinipa, naye Bwana ameviondoa, jina la Bwana litukuzwe.”
Job 1:21 in English
Job 1:21 · Berean Standard Bible
saying: “Naked I came from my mother’s womb, and naked I will return. The LORD gave, and the LORD has taken away. Blessed be the name of the LORD.”
Context
19ghafula upepo wenye nguvu ukavuma kutoka jangwani, nao ukaipiga nyumba hiyo pembe zake nne. Ikawaangukia hao watoto nao wamekufa, nami ndimi peke yangu niliyenusurika kukuletea habari!” 20Ndipo Ayubu akasimama, akararua joho lake na kunyoa nywele zake. Kisha akaanguka chini katika kuabudu 21na kusema:
“Nilitoka tumboni mwa mama yangu uchi,
nami nitaondoka uchi,*
Bwana alinipa, naye Bwana ameviondoa,
jina la Bwana litukuzwe.” 22Katika mambo haya yote, Ayubu hakutenda dhambi kwa kumlaumu Mungu kwa kufanya ubaya.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.