Yohana 9:25
John 9:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akawajibu, “Mimi sijui kama yeye ni mwenye dhambi. Lakini jambo moja ninalojua, nilikuwa kipofu na sasa ninaona.”
John 9:25 in English
John 9:25 · Berean Standard Bible
He answered, “Whether He is a sinner I do not know. There is one thing I do know: I was blind, but now I see!”
Context
23Kwa hiyo wazazi wake wakasema, “Yeye ni mtu mzima. Muulizeni.” 24Hivyo kwa mara ya pili wakamwita yule aliyekuwa kipofu, nao wakamwambia, “Mpe Mungu utukufu! Sisi tunafahamu kuwa mtu huyu aliyekuponya ni mwenye dhambi.” 25Akawajibu, “Mimi sijui kama yeye ni mwenye dhambi. Lakini jambo moja ninalojua, nilikuwa kipofu na sasa ninaona.” 26Wakamuuliza, “Alikufanyia nini? Aliyafumbuaje macho yako?” 27Akawajibu, “Tayari nimekwisha kuwaambia, nanyi hamtaki kunisikiliza. Mbona mnataka kusikia tena? Je, ninyi nanyi mnataka kuwa wanafunzi wake?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.