Native Bible

John 9:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hivyo kwa mara ya pili wakamwita yule aliyekuwa kipofu, nao wakamwambia, “Mpe Mungu utukufu! Sisi tunafahamu kuwa mtu huyu aliyekuponya ni mwenye dhambi.”

John 9:24 in English

John 9:24 · Berean Standard Bible

So a second time they called for the man who had been blind and said, “Give glory to God! We know that this man is a sinner.”

Context

22Wazazi wake walisema hivi kwa sababu waliwaogopa Wayahudi kwani walikuwa wamekubaliana kuwa mtu yeyote atakayemkiri Yesu kuwa ndiye Kristo* atafukuzwa kutoka sinagogi. 23Kwa hiyo wazazi wake wakasema, “Yeye ni mtu mzima. Muulizeni.” 24Hivyo kwa mara ya pili wakamwita yule aliyekuwa kipofu, nao wakamwambia, “Mpe Mungu utukufu! Sisi tunafahamu kuwa mtu huyu aliyekuponya ni mwenye dhambi.” 25Akawajibu, “Mimi sijui kama yeye ni mwenye dhambi. Lakini jambo moja ninalojua, nilikuwa kipofu na sasa ninaona.” 26Wakamuuliza, “Alikufanyia nini? Aliyafumbuaje macho yako?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.