Native Bible

John 8:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akajibu, “Amin, amin nawaambia, kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi.

John 8:34 in English

John 8:34 · Berean Standard Bible

Jesus replied, “Truly, truly, I tell you, everyone who sins is a slave to sin.

Context

32Ndipo mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru.” 33Wao wakamjibu, “Sisi tu wazao wa Abrahamu, nasi hatujawa watumwa wa mtu yeyote. Wawezaje kusema kwamba tutawekwa huru?” 34Yesu akajibu, “Amin, amin nawaambia, kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi. 35Mtumwa hakai nyumbani anakotumika siku zote, lakini mwana hukaa nyumbani daima. 36Hivyo Mwana akiwaweka huru mtakuwa huru kweli kweli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.