Yohana 8:36
John 8:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo Mwana akiwaweka huru mtakuwa huru kweli kweli.
John 8:36 in English
John 8:36 · Berean Standard Bible
So if the Son sets you free, you will be free indeed.
Context
34Yesu akajibu, “Amin, amin nawaambia, kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi. 35Mtumwa hakai nyumbani anakotumika siku zote, lakini mwana hukaa nyumbani daima. 36Hivyo Mwana akiwaweka huru mtakuwa huru kweli kweli. 37Ninajua ya kuwa ninyi ni wazao wa Abrahamu, lakini mnatafuta wasaa wa kuniua kwa sababu ndani yenu hamna nafasi ya neno langu. 38Ninasema yale niliyoyaona mbele za Baba yangu, nanyi inawapa kufanya yale mliyosikia kutoka kwa baba yenu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.