Native Bible

John 8:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtumwa hakai nyumbani anakotumika siku zote, lakini mwana hukaa nyumbani daima.

John 8:35 in English

John 8:35 · Berean Standard Bible

A slave is not a permanent member of the family, but a son belongs to it forever.

Context

33Wao wakamjibu, “Sisi tu wazao wa Abrahamu, nasi hatujawa watumwa wa mtu yeyote. Wawezaje kusema kwamba tutawekwa huru?” 34Yesu akajibu, “Amin, amin nawaambia, kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi. 35Mtumwa hakai nyumbani anakotumika siku zote, lakini mwana hukaa nyumbani daima. 36Hivyo Mwana akiwaweka huru mtakuwa huru kweli kweli. 37Ninajua ya kuwa ninyi ni wazao wa Abrahamu, lakini mnatafuta wasaa wa kuniua kwa sababu ndani yenu hamna nafasi ya neno langu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.