Yohana 8:32
John 8:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru.”
John 8:32 in English
John 8:32 · Berean Standard Bible
Then you will know the truth, and the truth will set you free.”
Context
30Wengi waliomsikia Yesu akisema maneno haya wakamwamini. 31Kisha Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, “Kama mkidumu katika maneno yangu, mtakuwa wanafunzi wangu kweli kweli. 32Ndipo mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru.” 33Wao wakamjibu, “Sisi tu wazao wa Abrahamu, nasi hatujawa watumwa wa mtu yeyote. Wawezaje kusema kwamba tutawekwa huru?” 34Yesu akajibu, “Amin, amin nawaambia, kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.