Native Bible

John 8:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, “Kama mkidumu katika maneno yangu, mtakuwa wanafunzi wangu kweli kweli.

John 8:31 in English

John 8:31 · Berean Standard Bible

So He said to the Jews who had believed Him, “If you continue in My word, you are truly My disciples.

Context

29Yeye aliyenituma yu pamoja nami, hajaniacha, kwa kuwa siku zote nafanya mapenzi yake.’ ” 30Wengi waliomsikia Yesu akisema maneno haya wakamwamini. 31Kisha Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, “Kama mkidumu katika maneno yangu, mtakuwa wanafunzi wangu kweli kweli. 32Ndipo mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru.” 33Wao wakamjibu, “Sisi tu wazao wa Abrahamu, nasi hatujawa watumwa wa mtu yeyote. Wawezaje kusema kwamba tutawekwa huru?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.