Yohana 8:29
John 8:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeye aliyenituma yu pamoja nami, hajaniacha, kwa kuwa siku zote nafanya mapenzi yake.’ ”
John 8:29 in English
John 8:29 · Berean Standard Bible
He who sent Me is with Me. He has not left Me alone, because I always do what pleases Him.”
Context
27Hawakuelewa kuwa alikuwa akiwaambia juu ya Baba yake wa Mbinguni. 28Kisha Yesu akawaambia, “Mtakapokwisha kumwinua juu Mwana wa Adamu, ndipo mtakapojua kuwa, ‘Mimi ndiye yule niliyesema na kwamba mimi sitendi jambo lolote peke yangu bali ninasema yale tu ambayo Baba yangu amenifundisha. 29Yeye aliyenituma yu pamoja nami, hajaniacha, kwa kuwa siku zote nafanya mapenzi yake.’ ” 30Wengi waliomsikia Yesu akisema maneno haya wakamwamini. 31Kisha Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, “Kama mkidumu katika maneno yangu, mtakuwa wanafunzi wangu kweli kweli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.