Yohana 8:30
John 8:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wengi waliomsikia Yesu akisema maneno haya wakamwamini.
John 8:30 in English
John 8:30 · Berean Standard Bible
As Jesus spoke these things, many believed in Him.
Context
28Kisha Yesu akawaambia, “Mtakapokwisha kumwinua juu Mwana wa Adamu, ndipo mtakapojua kuwa, ‘Mimi ndiye yule niliyesema na kwamba mimi sitendi jambo lolote peke yangu bali ninasema yale tu ambayo Baba yangu amenifundisha. 29Yeye aliyenituma yu pamoja nami, hajaniacha, kwa kuwa siku zote nafanya mapenzi yake.’ ” 30Wengi waliomsikia Yesu akisema maneno haya wakamwamini. 31Kisha Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, “Kama mkidumu katika maneno yangu, mtakuwa wanafunzi wangu kweli kweli. 32Ndipo mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.