Yohana 7:6
John 7:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akawaambia, “Wakati wangu bado haujawadia, lakini wakati wenu upo siku zote.
John 7:6 in English
John 7:6 · Berean Standard Bible
Therefore Jesus told them, “Although your time is always at hand, My time has not yet come.
Context
4Mtu anayetaka kujulikana hafanyi mambo yake kwa siri. Kama unafanya mambo haya, jionyeshe kwa ulimwengu.” 5Hata ndugu zake mwenyewe hawakumwamini. 6Yesu akawaambia, “Wakati wangu bado haujawadia, lakini wakati wenu upo siku zote. 7Ulimwengu hauwezi kuwachukia ninyi, lakini unanichukia mimi kwa sababu ninawashuhudia kwamba matendo yao ni maovu. 8Ninyi nendeni kwenye Sikukuu, lakini mimi sitahudhuria Sikukuu hii kwa sababu wakati wangu haujawadia.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.