Yohana 7:5
John 7:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hata ndugu zake mwenyewe hawakumwamini.
John 7:5 in English
John 7:5 · Berean Standard Bible
For even His own brothers did not believe in Him.
Context
3Hivyo ndugu zake Yesu wakamwambia, “Ondoka hapa uende Uyahudi ili wanafunzi Wako wapate kuona miujiza unayofanya. 4Mtu anayetaka kujulikana hafanyi mambo yake kwa siri. Kama unafanya mambo haya, jionyeshe kwa ulimwengu.” 5Hata ndugu zake mwenyewe hawakumwamini. 6Yesu akawaambia, “Wakati wangu bado haujawadia, lakini wakati wenu upo siku zote. 7Ulimwengu hauwezi kuwachukia ninyi, lakini unanichukia mimi kwa sababu ninawashuhudia kwamba matendo yao ni maovu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.