Yohana 7:4
John 7:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtu anayetaka kujulikana hafanyi mambo yake kwa siri. Kama unafanya mambo haya, jionyeshe kwa ulimwengu.”
John 7:4 in English
John 7:4 · Berean Standard Bible
For no one who wants to be known publicly acts in secret. Since You are doing these things, show Yourself to the world.”
Context
2Sikukuu ya Vibanda ya Wayahudi ilikuwa imekaribia. 3Hivyo ndugu zake Yesu wakamwambia, “Ondoka hapa uende Uyahudi ili wanafunzi Wako wapate kuona miujiza unayofanya. 4Mtu anayetaka kujulikana hafanyi mambo yake kwa siri. Kama unafanya mambo haya, jionyeshe kwa ulimwengu.” 5Hata ndugu zake mwenyewe hawakumwamini. 6Yesu akawaambia, “Wakati wangu bado haujawadia, lakini wakati wenu upo siku zote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.