Native Bible

John 7:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sikukuu ya Vibanda ya Wayahudi ilikuwa imekaribia.

John 7:2 in English

John 7:2 · Berean Standard Bible

However, the Jewish Feast of Tabernacles * was near.

Context

1Baada ya mambo haya, Yesu alikwenda sehemu mbalimbali za Galilaya. Hakutaka kwenda Uyahudi kwa sababu Wayahudi huko walitaka kumuua. 2Sikukuu ya Vibanda ya Wayahudi ilikuwa imekaribia. 3Hivyo ndugu zake Yesu wakamwambia, “Ondoka hapa uende Uyahudi ili wanafunzi Wako wapate kuona miujiza unayofanya. 4Mtu anayetaka kujulikana hafanyi mambo yake kwa siri. Kama unafanya mambo haya, jionyeshe kwa ulimwengu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.