Yohana 7:8
John 7:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninyi nendeni kwenye Sikukuu, lakini mimi sitahudhuria Sikukuu hii kwa sababu wakati wangu haujawadia.”
John 7:8 in English
John 7:8 · Berean Standard Bible
Go up to the feast on your own. I am not * going up to this feast, because My time has not yet come.”
Context
6Yesu akawaambia, “Wakati wangu bado haujawadia, lakini wakati wenu upo siku zote. 7Ulimwengu hauwezi kuwachukia ninyi, lakini unanichukia mimi kwa sababu ninawashuhudia kwamba matendo yao ni maovu. 8Ninyi nendeni kwenye Sikukuu, lakini mimi sitahudhuria Sikukuu hii kwa sababu wakati wangu haujawadia.” 9Akiisha kusema hayo, akabaki Galilaya. 10Lakini ndugu zake walipokwisha kuondoka kwenda kwenye Sikukuu, yeye pia alikwenda lakini kwa siri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.