Native Bible

John 6:69 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tunaamini na kujua kuwa wewe ndiwe Aliye Mtakatifu wa Mungu.”

John 6:69 in English

John 6:69 · Berean Standard Bible

We believe and know that You are the Holy One of God.*”

Context

67Hivyo Yesu akawauliza wale wanafunzi wake kumi na wawili, “Je, ninyi pia mnataka kuondoka?” 68Simoni Petro akamjibu, “Bwana, tuondoke twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele. 69Tunaamini na kujua kuwa wewe ndiwe Aliye Mtakatifu wa Mungu.” 70Ndipo Yesu akajibu, “Je, sikuwachagua ninyi kumi na wawili? Lakini mmoja wenu ni ibilisi.” 71(Hapa alikuwa anasema juu ya Yuda, mwana wa Simoni Iskariote. Ingawa alikuwa mmoja wa wale kumi na wawili, ndiye ambaye baadaye angemsaliti Yesu.)

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.