Native Bible

John 6:67 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hivyo Yesu akawauliza wale wanafunzi wake kumi na wawili, “Je, ninyi pia mnataka kuondoka?”

John 6:67 in English

John 6:67 · Berean Standard Bible

So Jesus asked the Twelve, “Do you want to leave too?”

Context

65Akaendelea kusema, “Hii ndiyo sababu niliwaambia kwamba hakuna mtu awezaye kuja kwangu isipokuwa amejaliwa na Baba yangu.” 66Tangu wakati huo wafuasi wake wengi wakarejea nyuma wakaacha kumfuata. 67Hivyo Yesu akawauliza wale wanafunzi wake kumi na wawili, “Je, ninyi pia mnataka kuondoka?” 68Simoni Petro akamjibu, “Bwana, tuondoke twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele. 69Tunaamini na kujua kuwa wewe ndiwe Aliye Mtakatifu wa Mungu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.