Native Bible

John 6:68 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Simoni Petro akamjibu, “Bwana, tuondoke twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele.

John 6:68 in English

John 6:68 · Berean Standard Bible

Simon Peter replied, “Lord, to whom would we go? You have the words of eternal life.

Context

66Tangu wakati huo wafuasi wake wengi wakarejea nyuma wakaacha kumfuata. 67Hivyo Yesu akawauliza wale wanafunzi wake kumi na wawili, “Je, ninyi pia mnataka kuondoka?” 68Simoni Petro akamjibu, “Bwana, tuondoke twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele. 69Tunaamini na kujua kuwa wewe ndiwe Aliye Mtakatifu wa Mungu.” 70Ndipo Yesu akajibu, “Je, sikuwachagua ninyi kumi na wawili? Lakini mmoja wenu ni ibilisi.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.