Yohana 6:66
John 6:66 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tangu wakati huo wafuasi wake wengi wakarejea nyuma wakaacha kumfuata.
John 6:66 in English
John 6:66 · Berean Standard Bible
From that time on many of His disciples turned back and no longer walked with Him.
Context
64Lakini baadhi yenu hamwamini.” Kwa maana Yesu alifahamu tangu mwanzo wale ambao hawangemwamini miongoni mwao na yule ambaye angemsaliti. 65Akaendelea kusema, “Hii ndiyo sababu niliwaambia kwamba hakuna mtu awezaye kuja kwangu isipokuwa amejaliwa na Baba yangu.” 66Tangu wakati huo wafuasi wake wengi wakarejea nyuma wakaacha kumfuata. 67Hivyo Yesu akawauliza wale wanafunzi wake kumi na wawili, “Je, ninyi pia mnataka kuondoka?” 68Simoni Petro akamjibu, “Bwana, tuondoke twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.