Yohana 6:49
John 6:49 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baba zenu walikula mana jangwani, lakini wakafa.
John 6:49 in English
John 6:49 · Berean Standard Bible
Your fathers ate the manna in the wilderness, yet they died.
Context
47Amin, amin nawaambia, yeye anayeamini anao uzima wa milele. 48Mimi ni mkate wa uzima. 49Baba zenu walikula mana jangwani, lakini wakafa. 50Lakini hapa kuna mkate utokao mbinguni, ambao mtu yeyote akiula, hatakufa. 51Mimi ni mkate wa uzima ule uliotoka mbinguni. Mtu yeyote akiula mkate huu, ataishi milele. Mkate huu ni mwili wangu, ambao nitautoa kwa ajili ya uzima wa ulimwengu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.