Yohana 6:48
John 6:48 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mimi ni mkate wa uzima.
John 6:48 in English
John 6:48 · Berean Standard Bible
I am the bread of life.
Context
46Hakuna mtu yeyote aliyemwona Baba isipokuwa yeye atokaye kwa Mungu, yeye ndiye peke yake aliyemwona Baba. 47Amin, amin nawaambia, yeye anayeamini anao uzima wa milele. 48Mimi ni mkate wa uzima. 49Baba zenu walikula mana jangwani, lakini wakafa. 50Lakini hapa kuna mkate utokao mbinguni, ambao mtu yeyote akiula, hatakufa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.