Yohana 6:50
John 6:50 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini hapa kuna mkate utokao mbinguni, ambao mtu yeyote akiula, hatakufa.
John 6:50 in English
John 6:50 · Berean Standard Bible
This is the bread that comes down from heaven, so that anyone may eat of it and not die.
Context
48Mimi ni mkate wa uzima. 49Baba zenu walikula mana jangwani, lakini wakafa. 50Lakini hapa kuna mkate utokao mbinguni, ambao mtu yeyote akiula, hatakufa. 51Mimi ni mkate wa uzima ule uliotoka mbinguni. Mtu yeyote akiula mkate huu, ataishi milele. Mkate huu ni mwili wangu, ambao nitautoa kwa ajili ya uzima wa ulimwengu.” 52Ndipo Wayahudi wakaanza kuhojiana vikali wao kwa wao wakisema, “Mtu huyu awezaje kutupatia mwili wake tuule?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.