Native Bible

John 6:47 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Amin, amin nawaambia, yeye anayeamini anao uzima wa milele.

John 6:47 in English

John 6:47 · Berean Standard Bible

Truly, truly, I tell you, he who believes has eternal life.

Context

45Imeandikwa katika Manabii, ‘Wote watafundishwa na Mungu.’ Yeyote amsikilizaye Baba na kujifunza kutoka kwake, huyo huja kwangu. 46Hakuna mtu yeyote aliyemwona Baba isipokuwa yeye atokaye kwa Mungu, yeye ndiye peke yake aliyemwona Baba. 47Amin, amin nawaambia, yeye anayeamini anao uzima wa milele. 48Mimi ni mkate wa uzima. 49Baba zenu walikula mana jangwani, lakini wakafa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.