Yohana 5:42
John 5:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini ninajua kwamba hamna upendo wa Mungu mioyoni mwenu.
John 5:42 in English
John 5:42 · Berean Standard Bible
but I know you, that you do not have the love of God within you.
Context
40Lakini mnakataa kuja kwangu ili mpate uzima. 41“Mimi sitafuti kutukuzwa na wanadamu. 42Lakini ninajua kwamba hamna upendo wa Mungu mioyoni mwenu. 43Mimi nimekuja kwa jina la Baba yangu, nanyi hamnipokei, lakini mtu mwingine akija kwa jina lake mwenyewe, mtampokea. 44Ninyi mwawezaje kuamini ikiwa mnapeana utukufu ninyi kwa ninyi, lakini hamna bidii kupata utukufu utokao kwa Mungu?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.