Native Bible

John 5:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini mnakataa kuja kwangu ili mpate uzima.

John 5:40 in English

John 5:40 · Berean Standard Bible

yet you refuse to come to Me to have life.

Context

38wala hamna neno lake ndani yenu, kwa sababu hamkumwamini yeye aliyetumwa naye. 39Ninyi mnachunguza Maandiko mkidhani ya kuwa ndani yake mna uzima wa milele, maandiko haya ndiyo yanayonishuhudia Mimi. 40Lakini mnakataa kuja kwangu ili mpate uzima. 41“Mimi sitafuti kutukuzwa na wanadamu. 42Lakini ninajua kwamba hamna upendo wa Mungu mioyoni mwenu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.