Yohana 5:39
John 5:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninyi mnachunguza Maandiko mkidhani ya kuwa ndani yake mna uzima wa milele, maandiko haya ndiyo yanayonishuhudia Mimi.
John 5:39 in English
John 5:39 · Berean Standard Bible
You pore over the Scriptures because you presume that by them you possess eternal life. These are the very words that testify about Me,
Context
37Naye Baba mwenyewe ameshuhudia juu yangu. Hamjapata kamwe kuisikia sauti yake wala kuona umbo lake, 38wala hamna neno lake ndani yenu, kwa sababu hamkumwamini yeye aliyetumwa naye. 39Ninyi mnachunguza Maandiko mkidhani ya kuwa ndani yake mna uzima wa milele, maandiko haya ndiyo yanayonishuhudia Mimi. 40Lakini mnakataa kuja kwangu ili mpate uzima. 41“Mimi sitafuti kutukuzwa na wanadamu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.