Yohana 5:10
John 5:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo Wayahudi wakamwambia yule mtu aliyeponywa, “Leo ni Sabato, si halali wewe kubeba mkeka wako.”
John 5:10 in English
John 5:10 · Berean Standard Bible
so the Jews said to the man who had been healed, “This is the Sabbath! It is unlawful for you to carry your mat.”
Context
8Yesu akamwambia, “Inuka! Chukua mkeka wako na uende.” 9Mara yule mtu akapona, akachukua mkeka wake, akaanza kutembea.
Basi siku hiyo ilikuwa siku ya Sabato. 10Kwa hiyo Wayahudi wakamwambia yule mtu aliyeponywa, “Leo ni Sabato, si halali wewe kubeba mkeka wako.” 11Yeye akawajibu, “Yule mtu aliyeniponya aliniambia, ‘Chukua mkeka wako na uende.’ ” 12Wakamuuliza, “Ni mtu gani huyo aliyekuambia uchukue mkeka wako uende?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.