Yohana 4:16
John 4:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akamjibu, “Nenda ukamwite mumeo, uje naye hapa.”
John 4:16 in English
John 4:16 · Berean Standard Bible
Jesus told her, “Go, call your husband and come back.”
Context
14Lakini yeyote anywaye maji nitakayompa hataona kiu kamwe. Maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji, yakibubujika uzima wa milele.” 15Yule mwanamke akamwambia, “Bwana, tafadhali nipe maji hayo ili nisipate kiu tena na wala nisije tena hapa kuteka maji!” 16Yesu akamjibu, “Nenda ukamwite mumeo, uje naye hapa.” 17Yule mwanamke akajibu, “Sina mume.”
Yesu akamwambia, “Umesema kweli kuwa huna mume. 18Kwa maana umeshakuwa na wanaume watano na mwanaume unayeishi naye sasa si mume wako! Umesema ukweli.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.