Native Bible

John 4:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana umeshakuwa na wanaume watano na mwanaume unayeishi naye sasa si mume wako! Umesema ukweli.”

John 4:18 in English

John 4:18 · Berean Standard Bible

In fact, you have had five husbands, and the man you now have is not your husband. You have spoken truthfully.”

Context

16Yesu akamjibu, “Nenda ukamwite mumeo, uje naye hapa.” 17Yule mwanamke akajibu, “Sina mume.” Yesu akamwambia, “Umesema kweli kuwa huna mume. 18Kwa maana umeshakuwa na wanaume watano na mwanaume unayeishi naye sasa si mume wako! Umesema ukweli.” 19Yule mwanamke akasema, “Bwana, naona bila shaka wewe ni nabii. 20Baba zetu waliabudu kwenye mlima huu, lakini ninyi Wayahudi mnasema ni lazima tukaabudu huko Yerusalemu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.