Yohana 4:17
John 4:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yule mwanamke akajibu, “Sina mume.” Yesu akamwambia, “Umesema kweli kuwa huna mume.
John 4:17 in English
John 4:17 · Berean Standard Bible
“I have no husband,” the woman replied. Jesus said to her, “You are correct to say that you have no husband.
Context
15Yule mwanamke akamwambia, “Bwana, tafadhali nipe maji hayo ili nisipate kiu tena na wala nisije tena hapa kuteka maji!” 16Yesu akamjibu, “Nenda ukamwite mumeo, uje naye hapa.” 17Yule mwanamke akajibu, “Sina mume.”
Yesu akamwambia, “Umesema kweli kuwa huna mume. 18Kwa maana umeshakuwa na wanaume watano na mwanaume unayeishi naye sasa si mume wako! Umesema ukweli.” 19Yule mwanamke akasema, “Bwana, naona bila shaka wewe ni nabii.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.