Native Bible

John 3:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini yeyote anayekubali huo ushuhuda anathibitisha kwamba, Mungu ni kweli.

John 3:33 in English

John 3:33 · Berean Standard Bible

Whoever accepts His testimony has certified that God is truthful.

Context

31“Yeye ajaye kutoka juu yu juu ya yote, yeye aliye wa duniani ni wa dunia, naye huzungumza mambo ya duniani. Yeye aliyekuja kutoka mbinguni, yu juu ya yote. 32Yeye hushuhudia yale aliyoyaona na kuyasikia, lakini hakuna yeyote anayekubali ushuhuda wake. 33Lakini yeyote anayekubali huo ushuhuda anathibitisha kwamba, Mungu ni kweli. 34Yeye aliyetumwa na Mungu husema maneno ya Mungu, kwa kuwa Mungu humtoa Roho pasipo kipimo. 35Baba anampenda Mwana, naye ametia vitu vyote mikononi mwake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.