Yohana 3:35
John 3:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baba anampenda Mwana, naye ametia vitu vyote mikononi mwake.
John 3:35 in English
John 3:35 · Berean Standard Bible
The Father loves the Son and has placed all things in His hands.
Context
33Lakini yeyote anayekubali huo ushuhuda anathibitisha kwamba, Mungu ni kweli. 34Yeye aliyetumwa na Mungu husema maneno ya Mungu, kwa kuwa Mungu humtoa Roho pasipo kipimo. 35Baba anampenda Mwana, naye ametia vitu vyote mikononi mwake. 36Yeyote anayemwamini Mwana ana uzima wa milele, lakini yeye asiyemwamini Mwana hatauona uzima, bali ghadhabu ya Mungu itakuwa juu yake.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.