Native Bible

John 21:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Simoni Petro, Tomaso aitwaye Didimasi, yaani Pacha, Nathanaeli wa Kana ya Galilaya, wana wa Zebedayo na wanafunzi wengine wawili walikuwa pamoja.

John 21:2 in English

John 21:2 · Berean Standard Bible

Simon Peter, Thomas called Didymus,* Nathanael from Cana in Galilee, the sons of Zebedee, and two other disciples were together.

Context

1Baada ya haya Yesu akawatokea tena wanafunzi wake kando ya Bahari ya Tiberia.* Yeye alijionyesha kwao hivi: 2Simoni Petro, Tomaso aitwaye Didimasi, yaani Pacha, Nathanaeli wa Kana ya Galilaya, wana wa Zebedayo na wanafunzi wengine wawili walikuwa pamoja. 3Simoni Petro akawaambia wenzake, “Mimi naenda kuvua samaki.” Nao wakamwambia, “Tutakwenda pamoja nawe.” Wakatoka, wakaingia ndani ya mashua, lakini usiku ule hawakupata chochote. 4Mara baada ya kupambazuka, Yesu akasimama ufuoni, lakini wanafunzi hawakumtambua kwamba alikuwa Yesu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.