Native Bible

John 20:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu alifanya miujiza mingine mingi mbele za wanafunzi wake, ambayo haikuandikwa katika kitabu hiki.

John 20:30 in English

John 20:30 · Berean Standard Bible

Jesus performed many other signs in the presence of His disciples, which are not written in this book.

Context

28Tomaso akamwambia, “Bwana wangu na Mungu wangu!” 29Yesu akamwambia, “Umeamini kwa kuwa umeniona? Wamebarikiwa wale ambao hawajaona lakini wameamini.” 30Yesu alifanya miujiza mingine mingi mbele za wanafunzi wake, ambayo haikuandikwa katika kitabu hiki. 31Lakini haya yameandikwa ili mweze kuamini ya kuwa Yesu ndiye Kristo,* Mwana wa Mungu, na kwa kumwamini mpate uzima katika jina lake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.