Yohana 20:29
John 20:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akamwambia, “Umeamini kwa kuwa umeniona? Wamebarikiwa wale ambao hawajaona lakini wameamini.”
John 20:29 in English
John 20:29 · Berean Standard Bible
Jesus said to him, “Because you have seen Me, you have believed; blessed are those who have not seen and yet have believed.”
Context
27Kisha akamwambia Tomaso, “Weka kidole chako hapa na uone mikono yangu, nyoosha mkono wako uguse ubavuni mwangu. Usiwe na shaka, bali uamini tu.” 28Tomaso akamwambia, “Bwana wangu na Mungu wangu!” 29Yesu akamwambia, “Umeamini kwa kuwa umeniona? Wamebarikiwa wale ambao hawajaona lakini wameamini.” 30Yesu alifanya miujiza mingine mingi mbele za wanafunzi wake, ambayo haikuandikwa katika kitabu hiki. 31Lakini haya yameandikwa ili mweze kuamini ya kuwa Yesu ndiye Kristo,* Mwana wa Mungu, na kwa kumwamini mpate uzima katika jina lake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.