Native Bible

John 20:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini haya yameandikwa ili mweze kuamini ya kuwa Yesu ndiye Kristo,* Mwana wa Mungu, na kwa kumwamini mpate uzima katika jina lake.

John 20:31 in English

John 20:31 · Berean Standard Bible

But these are written so that you may believe * that Jesus is the Christ, the Son of God, and that by believing you may have life in His name.

Context

29Yesu akamwambia, “Umeamini kwa kuwa umeniona? Wamebarikiwa wale ambao hawajaona lakini wameamini.” 30Yesu alifanya miujiza mingine mingi mbele za wanafunzi wake, ambayo haikuandikwa katika kitabu hiki. 31Lakini haya yameandikwa ili mweze kuamini ya kuwa Yesu ndiye Kristo,* Mwana wa Mungu, na kwa kumwamini mpate uzima katika jina lake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.