Yohana 2:4
John 2:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akamwambia, “Mwanamke, nina nini nawe? Saa yangu haijawadia.”
John 2:4 in English
John 2:4 · Berean Standard Bible
“Woman, why does this concern us?” Jesus replied. “My hour has not yet come.”
Context
2Yesu pamoja na wanafunzi wake walikuwa wamealikwa arusini pia. 3Divai ilipokwisha, mama yake Yesu akamwambia, “Wameishiwa na divai.” 4Yesu akamwambia, “Mwanamke, nina nini nawe? Saa yangu haijawadia.” 5Mama yake akawaambia wale watumishi, “Lolote atakalowaambia, fanyeni.” 6Basi ilikuwepo mitungi sita ya kuhifadhia maji iliyotengenezwa kwa mawe kwa ajili ya kujitakasa kwa desturi ya Kiyahudi; kila mtungi ungeweza kuchukua vipipa viwili au vitatu.*
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.