Yohana 2:3
John 2:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Divai ilipokwisha, mama yake Yesu akamwambia, “Wameishiwa na divai.”
John 2:3 in English
John 2:3 · Berean Standard Bible
When the wine ran out, Jesus’ mother said to Him, “They have no more wine.”
Context
1Siku ya tatu kulikuwa na arusi katika mji wa Kana ya Galilaya, naye mama yake Yesu alikuwepo pale. 2Yesu pamoja na wanafunzi wake walikuwa wamealikwa arusini pia. 3Divai ilipokwisha, mama yake Yesu akamwambia, “Wameishiwa na divai.” 4Yesu akamwambia, “Mwanamke, nina nini nawe? Saa yangu haijawadia.” 5Mama yake akawaambia wale watumishi, “Lolote atakalowaambia, fanyeni.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.