Native Bible

John 2:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Siku ya tatu kulikuwa na arusi katika mji wa Kana ya Galilaya, naye mama yake Yesu alikuwepo pale.

John 2:1 in English

John 2:1 · Berean Standard Bible

On the third day a wedding took place at Cana in Galilee. Jesus’ mother was there,

Context

1Siku ya tatu kulikuwa na arusi katika mji wa Kana ya Galilaya, naye mama yake Yesu alikuwepo pale. 2Yesu pamoja na wanafunzi wake walikuwa wamealikwa arusini pia. 3Divai ilipokwisha, mama yake Yesu akamwambia, “Wameishiwa na divai.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.