Native Bible

John 17:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama vile ulivyonituma mimi ulimwenguni, nami nawatuma vivyo hivyo.

John 17:18 in English

John 17:18 · Berean Standard Bible

As You sent Me into the world, I have also sent them into the world.

Context

16Wao si wa ulimwengu huu, kama vile mimi nisivyo wa ulimwengu. 17Uwatakase kwa ile kweli, neno lako ndilo kweli. 18Kama vile ulivyonituma mimi ulimwenguni, nami nawatuma vivyo hivyo. 19Kwa ajili yao najiweka wakfu ili wao nao wapate kutakaswa katika ile kweli. 20“Siwaombei hawa peke yao, bali nawaombea na wale wote watakaoniamini kupitia neno lao

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.