Yohana 17:20
John 17:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Siwaombei hawa peke yao, bali nawaombea na wale wote watakaoniamini kupitia neno lao
John 17:20 in English
John 17:20 · Berean Standard Bible
I am not asking on behalf of them alone, but also on behalf of those who will believe in Me through their message,
Context
18Kama vile ulivyonituma mimi ulimwenguni, nami nawatuma vivyo hivyo. 19Kwa ajili yao najiweka wakfu ili wao nao wapate kutakaswa katika ile kweli. 20“Siwaombei hawa peke yao, bali nawaombea na wale wote watakaoniamini kupitia neno lao 21ili wawe na umoja kama vile wewe Baba ulivyo ndani yangu na mimi nilivyo ndani yako, wao nao wawe ndani yetu, ili ulimwengu upate kuamini ya kuwa wewe ndiye uliyenituma mimi. 22Utukufu ule ulionipa nimewapa wao, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo wamoja.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.