Yohana 17:19
John 17:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa ajili yao najiweka wakfu ili wao nao wapate kutakaswa katika ile kweli.
John 17:19 in English
John 17:19 · Berean Standard Bible
For them I sanctify Myself, so that they too may be sanctified by the truth.
Context
17Uwatakase kwa ile kweli, neno lako ndilo kweli. 18Kama vile ulivyonituma mimi ulimwenguni, nami nawatuma vivyo hivyo. 19Kwa ajili yao najiweka wakfu ili wao nao wapate kutakaswa katika ile kweli. 20“Siwaombei hawa peke yao, bali nawaombea na wale wote watakaoniamini kupitia neno lao 21ili wawe na umoja kama vile wewe Baba ulivyo ndani yangu na mimi nilivyo ndani yako, wao nao wawe ndani yetu, ili ulimwengu upate kuamini ya kuwa wewe ndiye uliyenituma mimi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.