Native Bible

John 17:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wao si wa ulimwengu huu, kama vile mimi nisivyo wa ulimwengu.

John 17:16 in English

John 17:16 · Berean Standard Bible

They are not of the world, just as I am not of the world.

Context

14Nimewapa neno lako, nao ulimwengu umewachukia kwa kuwa wao si wa ulimwengu kama mimi nisivyo wa ulimwengu huu. 15Siombi kwamba uwaondoe ulimwenguni, bali uwalinde dhidi ya yule mwovu. 16Wao si wa ulimwengu huu, kama vile mimi nisivyo wa ulimwengu. 17Uwatakase kwa ile kweli, neno lako ndilo kweli. 18Kama vile ulivyonituma mimi ulimwenguni, nami nawatuma vivyo hivyo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.