Native Bible

John 17:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Siombi kwamba uwaondoe ulimwenguni, bali uwalinde dhidi ya yule mwovu.

John 17:15 in English

John 17:15 · Berean Standard Bible

I am not asking that You take them out of the world, but that You keep them from the evil one.*

Context

13“Lakini sasa naja kwako, nami ninasema mambo haya wakati bado nikiwa ulimwenguni, ili wawe na furaha yangu kamili ndani yao. 14Nimewapa neno lako, nao ulimwengu umewachukia kwa kuwa wao si wa ulimwengu kama mimi nisivyo wa ulimwengu huu. 15Siombi kwamba uwaondoe ulimwenguni, bali uwalinde dhidi ya yule mwovu. 16Wao si wa ulimwengu huu, kama vile mimi nisivyo wa ulimwengu. 17Uwatakase kwa ile kweli, neno lako ndilo kweli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.