Native Bible

John 12:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akawaambia, “Sauti hii imesikika kwa faida yenu, wala si kwa faida yangu.

John 12:30 in English

John 12:30 · Berean Standard Bible

In response, Jesus said, “This voice was not for My benefit, but yours.

Context

28Baba, litukuze jina lako.” Ndipo ikaja sauti kutoka mbinguni, “Nimelitukuza, nami nitalitukuza tena.” 29Ule umati wa watu uliokuwa mahali pale uliisikia nao ukasema, “Hiyo ni sauti ya radi,” wengine wakasema, “Malaika ameongea naye.” 30Yesu akawaambia, “Sauti hii imesikika kwa faida yenu, wala si kwa faida yangu. 31Sasa ni saa ya hukumu kwa ajili ya ulimwengu huu, sasa mkuu wa ulimwengu huu atatupwa nje. 32Lakini mimi, nikiinuliwa kutoka nchi, nitawavuta watu wote waje kwangu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.