Yohana 12:28
John 12:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baba, litukuze jina lako.” Ndipo ikaja sauti kutoka mbinguni, “Nimelitukuza, nami nitalitukuza tena.”
John 12:28 in English
John 12:28 · Berean Standard Bible
Father, glorify Your name!” Then a voice came from heaven: “I have glorified it, and I will glorify it again.”
Context
26Mtu yeyote akinitumikia lazima anifuate, nami mahali nilipo ndipo mtumishi wangu atakapokuwa. Mtu akinitumikia, Baba yangu atamheshimu. 27“Sasa roho yangu imefadhaika sana. Niseme nini? ‘Baba, niokoe katika saa hii.’ Lakini ni kwa kusudi hili nimeufikia wakati huu. 28Baba, litukuze jina lako.”
Ndipo ikaja sauti kutoka mbinguni, “Nimelitukuza, nami nitalitukuza tena.” 29Ule umati wa watu uliokuwa mahali pale uliisikia nao ukasema, “Hiyo ni sauti ya radi,” wengine wakasema, “Malaika ameongea naye.” 30Yesu akawaambia, “Sauti hii imesikika kwa faida yenu, wala si kwa faida yangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.