Yohana 11:42
John 11:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninajua ya kuwa wewe hunisikia siku zote, lakini nimesema haya kwa ajili ya umati huu uliosimama hapa, ili wapate kuamini ya kuwa wewe umenituma.”
John 11:42 in English
John 11:42 · Berean Standard Bible
I knew that You always hear Me, but I say this for the benefit of the people standing here, so they may believe that You sent Me.”
Context
40Yesu akamwambia, “Sikukuambia kwamba kama ukiamini utauona utukufu wa Mungu?” 41Kwa hiyo wakaliondoa lile jiwe kutoka kaburini. Yesu akainua macho yake juu akasema, “Baba, ninakushukuru kwa kuwa wanisikia. 42Ninajua ya kuwa wewe hunisikia siku zote, lakini nimesema haya kwa ajili ya umati huu uliosimama hapa, ili wapate kuamini ya kuwa wewe umenituma.” 43Baada ya kusema haya, Yesu akapaza sauti yake akaita, “Lazaro, njoo huku!” 44Yule aliyekuwa amekufa akatoka nje, mikono yake na miguu yake ikiwa imeviringishiwa vitambaa vya kitani na leso usoni pake.
Yesu akawaambia, “Mfungueni, mwacheni aende zake.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.