Yohana 11:41
John 11:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo wakaliondoa lile jiwe kutoka kaburini. Yesu akainua macho yake juu akasema, “Baba, ninakushukuru kwa kuwa wanisikia.
John 11:41 in English
John 11:41 · Berean Standard Bible
So they took away the stone. Then Jesus lifted His eyes upward and said, “Father, I thank You that You have heard Me.
Context
39Yesu akasema, “Liondoeni hilo jiwe.”
Martha ndugu yake yule aliyekuwa amekufa akasema, “Lakini Bwana, wakati huu atakuwa ananuka kwani amekwisha kuwa kaburini siku nne.” 40Yesu akamwambia, “Sikukuambia kwamba kama ukiamini utauona utukufu wa Mungu?” 41Kwa hiyo wakaliondoa lile jiwe kutoka kaburini. Yesu akainua macho yake juu akasema, “Baba, ninakushukuru kwa kuwa wanisikia. 42Ninajua ya kuwa wewe hunisikia siku zote, lakini nimesema haya kwa ajili ya umati huu uliosimama hapa, ili wapate kuamini ya kuwa wewe umenituma.” 43Baada ya kusema haya, Yesu akapaza sauti yake akaita, “Lazaro, njoo huku!”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.